Monday, December 17, 2012

10 bora ya wanawake wenye matiti makubwa DunianiMara zote linapokuja suala la kuangalia ni mwanamke gani wa kutoka naye, wanaume huangalia sana sehemu za maumbile yao na miongoni mwa sehemu zinazokodolewa macho ni pamoja na kifuani (matiti), makalio (wowowo) na miguu. Hii ni mitazamo tu ya aina Fulani ya wanaume, na kufanya hivi ni jambo la asili. Bila shaka, kuna sababu ya kufanya hivi, lakini siyo kwa ajili ya kumnyanysa mwanamke. Lakini wakati mwingine, haijalishi heshima wala hadhi ya mwanaume, linapokuja suala kama hili mwanaume hawezi hata kubandua macho kutoka kule anakoangalia. 
Kawaida matiti makubwa ni sumaku ya asili kwa macho ya mwanume. Pengine, hii ni sababu ya kwa nini baadhi ya wanawake huenda mbali zaidi hata wakafikia hatua ya kuongeza matiti yao. Lakini wakati mwingine suala la kuongeza matiti linavuka mipaka? Kwa nini baadhi ya wanawake hufanya namna hii? Kwa ni hawachukui mifano kutoka kwa celebrities ambao wana matiti ya saizi ya halali? Kwa nini hawawafuati mifano ya waigizaji wa kike kama vile Scarlett Johansson. Pamela Anderson, Raquel Welch, Shannon Elizabeth, Jennifer Connelly au Jessica Simpson? Au labda, wangewafuata supermodels maarufu au nyota wa kweli walio na matiti makubwa kama vile Kate Upton au Kim Kardashian.
Wanaweza kuwa na sababu tofauti tofauti za kufanya hivyo, lakini pengine waweza kuwaita fun bags, knockers, rack, boobs ama vyovyote, hii ni orodha ya kumi bora ya wanawake wenye matiti makubwa ulimwenguni.
1. Chelsea Charms
Kwa kawaida matiti ya mwanamke hukua kwa mzunguko wa hadi kufikia 400 hadi 500 CC. mwanadada Chelsea Charms ameyakuza matiti yake hadi kufikia 1,200 cc. hii inadhihirisha wazi kuwa ni namna gani mwanamama huyu alivyokuwa fundi wa kuongeza matiti, lakini hatuna uhakika kama kwa namna hii anaweza kuwavutia wanaume kwa kifua kikubwa namna hii.
2. Sheyla Hershey
Kwa sasa ana ukubwa wa 38KKK ya kifua chake baada ya kuongeza, lakini madaktari wamelazimika kuyapunguza baada ya kuugua. Alikuwa mchovu na alikuwa kitandani siku nzima, akiwa na maumivu katika mwili wake wote (siyo tu katika matiti). Kila siku aliendelea kuumwa.
3. Beshine
Inasadikiwa kuwa, Beshine ana matiti makubwa kuliko wanawake wote barani Ulaya, na amekuwa anafanya juhudi kubwa kuhakikisha analifanikisha jambo hilo. Beshine ameanza kwa kujikana kwa jina la B cup, lakini sasa anajulikana kama amazing Z. na anapenda kila mapitio anayokabiliana nayo. Pia amekuwa anafanya mazoezi kwa lengi la kujiweka fit, hasa hufanya mazoezi kwa lengo la kuweka vema misuli ya mgongo kwa lengo la kujitayarisha kubeba mzigo ulioko mbele yake (matiti). Jambo pekee analolilalamikia mwanamke huyu ni kutokuwepo nguo ambazo zinaweza kuhifadhi mwili wake.
4. BB Gunns
Chances hili siyo jina lake halisi. Ametokea mbali hadi kulipata kutoka double B, ingawa, ana matiti yanayokadiriwa kuwa ya saizi 78HHH.  Kwa hivi akapata jina la HHH Gunns, au Triple H Gunns.
5. Busty Dusty
Wanayapata wapi majina haya, hakuna afahamuye. Kama jina hili la Busty Dusty ni jina lake halisi, wazazi wake watakuwa wamemuadhibu sana tangu mwanzo. Anashika nafasi ya tano katika orodha hii ya wanawake wenye matiti makubwa ulimwenguni.
6. Minka
Anayeshika nafasi ya sita ni Minka ambaye inasemekana kuwa ni mwanamke pekee kutoka barani Asia mwenye matiti makubwa ulimwenguni. Minka ni mwalimu wa tennis wa Korea Kusini. Alikwenda nchini Marekani baada ya kushinda mara mbili mfululizo mjini Chicago mwaka 1993. Baadaye akajaribu kuomba kibali cha kuwa mwalimu wa michezo, lakini hakuweza kupata leseni ya kuwa mwalimu wa tennis kwa sababu ya utofauti wa lugha.
7. Lolo Ferrari
Wakati akiwa hai, Lolo Ferrari alidaiwa kuvaa sidiria ya ukubwa wa saizi 58F. Inaelezwa pia kuwa, amefanyiwa upasuaji mara 22 kabla ya kuwa katika saizi aliyoitaka.
8. Maxi Mounds
Maxi Mounds anashika nafasi ya nane akiwa anavaa sidiria ya saizi 42M, huku uzito wa kila titi ukifikia paundi 20. Mwenyewe anasema kuwa kuwa na matiti makubwa namna hiyo ni kama kumbeba mtoto wa kati ya miaka mitatu au minne.
9. Sabrina Sabrok
Sabrina Sabrok ni celebrity katika upande wake. Anafanya kipindi cha television, ni mwanamke wa matangazo pia ni nyota wa rock. Hata wakati Fulani amewahi kuigiza katika ufunguzi wa show ya Marilyn Manson. Amefanya upasuaji mara kadhaa kwa lengo la kukuza matiti yake, hii inampa nafasi ya kuwa katika orodha ya wanawake wenye matiti makubwa duniani.
10. Keisha Evans
Kifua chake kina ukubwa wa nchi 56 na nusu, kikiwa na mzunguko wa 6,000 cc. kama wengine katika orodha hii, Keisha Evans ni miongoni mwa nyota. Tofauti na wengine, pia Evans amejifunza mambo kadhaa ikiwa pamoja weledi. Anaendesha mtandao wa kikubwa ambao ni maalumu kwa mashabiki wake hasa wale wanaopenda matiti makubwa

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. The Chief - All Rights Reserved.