Online

Monday, December 26, 2016

EPL: 8 viwanjani leo Premier League: Taarifa za timu na dondoo muhimu kuelekea mechi za Boxing Day

  • Crystal Palace itakuwa wageni wa Watford siku nne tu baada ya kumtimua Alan Pardew
  • Vinara wa Premier League Chelsea watawaalika Bournemouth Boxing Day
  • Arsenal itawakaribisha West Browmich Albion katika dimba la Emirates
  • Manchester United watawaalika Sunderland Old Trafford
  • Manchester City kuwa wageni wa Hull City
  • Liverpool watapepetana na Stoke City Disemba 27 katika dimba la Anfield
  • Matchday 18 inakamilishwa na Tottenham Hotspur watakapoifuata Southampton Jumatano
KUELEKEA mwanzo wa michezo ya mapumziko ya Sikukuu kwenye Premier League, The Chief kwa msaada wa vyanzo mbalimbali inekuletea dondoo muhimu kuelekea michezo kadhaa itakayopigwa Boxing Day.
Unachotakiwa kufanya ni kubofya kwenye ratiba chini kujua nani atakuwepo na nani atakosekana pamoja na nukta muhimu kuelekea mchezo wa timu yako.
In or out? Keep up-to-date with all the latest team news and stats ahead of the festive games 
Ndani na nje ya Tanzania, kuwa karibu na taarifa mbalimbali za michezo
JUMATATU (BOXING DAY)
Watford v Crystal Palace (9:30 Jioni)
Burnley v Middlesbrough (12:00 Jioni)
Leicester City v Everton (12:00 Jioni)
Swansea City v West Ham (12:00 Jioni)

JUMANNE
Liverpool v Stoke City (2.15 Usiku)
JUMATANO
Southampton v Tottenham Hotspur (4.45 Usiku)

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. The Chief - All Rights Reserved.