Online

Thursday, January 12, 2017

EPL News: Nyota wa Manchester United Paul Pogba atajwa kiungo-mkabaji bora duniani

KIUNGO ghali zaidi dunia wa Manchester United Paul Pogba ni kiungo-mkabaji bora zaidi kwenye Premier League na dunaini.
Hii ni kwa mujibu wa CIES Football Observatory ambao wametoa orodha ya wachezaji bora dunaini katika Ligi Kuu tano bora.
Pogba anaongoza orodha hiyo sanjari na kiungo wa Bayern Munich na Uhispania Thiago Alcantara.Pogba
Pogba anaongoza orodha sanjari na Thiago Alcantara (Picha kwa hisani ya CIES/Getty)
Pogba amekuwa akicheza sehemu ya kati ya kiungo katika kikosi cha United tangu aliporejea uwanjani akitegemewa kuwa mgawaji muhimu katika kikosi cha Jose Mourinho.
Pogba, 23, amekuwa akitajwa sana katika miezi ya karibuni baada ya kuanza shughuli yake iliyotarajiwa na tayari ametengeneza nafasi 37 kwenye Premier League.

Dondoo za Pogba kwenye PL

19 – Mechi 4 – Mabao 3 – Assist 37 – Nafasi alizotengeneza
85% – Ukamilifu wa pasiMan Utd star Paul Pogba ranked the best defensive midfielder in the world
Ander Herrera anakuja nyuma ya Pogba (Picha: Getty)
Licha ya uwezo wake wa kushambulia, CIES inamuweka sehemu ya kiungo-mkabaji.
Pogba atamzidi mchezaji-mwenza Ander Herrera kileleni kwa pointi moja  ambaye amekuwa akikaba zaidi chini ya Mourinho.Man Utd star Paul Pogba ranked the best defensive midfielder in the world
N’Golo Kante anatokeza chini kabisa zaidi ya Jordan Henderson (Picha: Getty)
Na katika kuiweka sawa zaidi, kiungo wa Liverpool Jordan Henderson anakaa juu ya nyota wa Chelsea N’Golo Kante.
Orodha ya CIES inaegemea zaidi kwa wachezaji ambao wamecheza kwenye ligi kwa dakika 900 kwenye klabu zao.
Pia kuna orodha tofauti kwa wachezaji wasio katika timu za Taifa ambayo inaongozwa na kiungo wa Arsenal Francis Coquelin.
Francis Coquelin tops the list for non-internationals (Picture: CIES)
Francis Coquelin anaongoza kwa wachezaji wasio katika timu za Taifa (Picha: CIES)

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. The Chief - All Rights Reserved.