Online

Monday, January 15, 2018

African News: Alichosema Lowassa baada ya kuambiwa arudi CCM na JPM


Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema ujumbe wa Rais Magufuli alipomuita Ikulu January 9, 2018 ulikuwa ni kumshawishi kurejea CCM lakini alikataa.

Lowassa ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema alimweleza Rais Magufuli kuwa hakubahatisha kufanya uamuzi wa kuhama CCM kwenda CHADEMA.


No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. The Chief - All Rights Reserved.