Online

Monday, January 15, 2018

African News: Chama cha Wanasheria Uganda wafungua kesi ya kikatiba


Chama cha Mawakili nchini Uganda kimefungua kesi katika Mahakama ya Katiba kupinga mabadiliko ya Katiba yanayoondoa ukomo wa umri wa mgombea Urais.

Muswada wa mabadiliko hayo umepitishwa na Bunge la nchi hiyo na tayari Rais Museveni amesaini kuwa Sheria.


No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. The Chief - All Rights Reserved.