Online

Monday, January 15, 2018

VPL News: Obrey Chirwa afungiwa mechi tatu na TFF


Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF ambayo ilikutana Jumapili January 14, 2018 imemfungia mechi 3 mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa.

Mbali na kumfungia mechi tatu, pia imempiga faini ya Tsh 500,000 mshambuliaji huyo baada ya kukiri kumpiga mchezaji wa Tanzania Prisons wakati wa mchezo uliozikutanisha timu hizo November 25 ,2017.

No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. The Chief - All Rights Reserved.