Online

Saturday, May 12, 2018

"Msiwe na wasiwasi, pembejeo mtapata mapema" - MWENYEKITI CCM MTWARA


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mtwara Yusuph Nannila amewahakikishia Wakulima wa zao la Korosho mkoani humo kuwa pembejeo za kilimo hicho zitapatikana kwa wakati ili Wakulima hao waandae mashamba yao mapema.

Akizungumza baada ya ufunguzi wa tawi la Chama hicho katika Kata ya Kisungule, Mikindani ambapo alipokea wanachama wapya watatu akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo Yusuph Trafiq kwa tikrti ya CUF, Nannila amesema atasimamia ufuatiliaji wa pembejeo za kilimo cha Korosho ili kuhakikisha upatikanaji wake unakuwa wa haraka.


No comments :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. The Chief - All Rights Reserved.